TEHRAN (IQNA) - Mwanamke Muislamu nchini Marekani amewasilisha kesi mahakamani na kusema haki zake za kiraia na kidini zilikiukwa pale maafisa wa Idara ya Polisi ya Los Angeles (LAPD) walipomvua Hijabu (mtandio) wakati akihudhuria mkutano wa Tume ya Polisi mwaka jana.
Habari ID: 3473180 Tarehe ya kuchapishwa : 2020/09/18